Hivi ni kwamba Polisi wanataka kuhalalisha matumizi ya mabomu ya mchozi viwanjani? kwamba kulikuwa na tukio hatari la kushindwa kuwadhibiti mashabiki mpaka mtumie nguvu kiasi hicho hadi kupiga abomu kuwtawanya mashabiki ambao wamelipa pesa kwenda uwanjani kutazama mchezo?
Haya mpaka lini? Ni...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Baada ya mchezo kumalizika...
Mashabiki wanataka hela zao baada ya mechi ya TRA na Simba kuahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha huko Arusha.
Askari wakaona njia pekee ya kutatua mgogoro huo wa mashabiki wameeanza kupiga mabomu na risasi za moto.
Nchi hii kila kitu ni matumizi ya nguvu tu.
Soma Pia: Mechi kati ya...
Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kwa sasa umefika katika uwanja wa michezo wa Kasarani kwa ajili ya kuagwa.
Maafisa wa jeshi wamelazimika kufyatua risasi angani ili kuwatawanya waombolezaji abao waliingia ndani ya uwanja huo kabla mwili haujafika na kuujaza uwanja wote...
Wakuu kama mmetizama Zile video za Wananchi wakipambana na Uhuni wa mwendokasi na genge lao la wahuni.
Polisi Licha ya kufuatia Mabomu na Risasi baridi.
Wananchi Wakigoma kutawanyika, zaidi zaidi walíendelea kupiga kelele na kupaza sauti !!.
Huu ni Mwanzo mzuri sana Kwa sisi tunaochambua...
Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
Wakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.
Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.
ongezea hii kwenye stori yako
JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI
Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.