Anaandika Zakazakazi,
YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22
Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo.
Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi...