mabilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mabilioni yote tuliyokopa yameenda wapi?

    Kwa mabilioni yaliyokopwa na taifa kupitia CCM, tulipaswa kuona maendeleo ya dhahiri: barabara za kisasa, reli imara, hospitali zenye vifaa vya kisasa, elimu inclusive bila kero, na ajira sustainable kwa vijana. Hizo fedha zingeweza kubadilisha kabisa standard of living ya mwananchi wa kawaida...
  3. JamiiForums Tanzania Yani hapa sijanywa hata chai kuna mtu ana yadi ya magari ya mabilioni nyumbani kwake, Tanzania hakuna haki.

    Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa Sina,nawasihi Angela Kizinga,Elvis na Abdul mnionee huruma mniletee hata kabilioni na Mimi nipate raha...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hili la viongozi kuiba mabilioni ya pesa na kununulia vitu vya kifahari ni ujinga ama ni kukosa maarifa?

    Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

    Nini maana ya kuchanga, kutoa michango. Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea. Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

    Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
  8. JamiiForums Tanzania Safari ya kijana wa Benki kuwa Nahodha wa Mabilioni

    Wakati kijana mwingine angekuwa bado anatafuta mwelekeo wa maisha, Abdulmajid M. Nsekela tayari alikuwa ndani ya mabenki, akijifunza kwa vitendo namna taasisi za fedha zinavyosimama na kusimamia uchumi wa taifa. Leo hii, jina lake ni nembo ya uongozi thabiti na mabadiliko chanya katika sekta ya...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara kichaa ya CCM na System yadoda: Mabilioni yapotea, Wameanza kuropoka ovyo huko

    Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati! Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣 Baada ya CCM na...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh kisa sakata la IPTL

    Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mfanyabiashara huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi hiyo imetokana na yeye kuzungumzia...
  11. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  12. JamiiForums Tanzania Balaa kubwa laipata meli ya kivita ya Marekani kwenye Red Sea.Wapoteza ndege ya kivita ya mabilioni

    Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they...
  14. JamiiForums Tanzania Napendekeza uzalishwaji wa ‘wall Putty’ za rangi tofauti tofauti ili kuokoa mabilioni kwenye gharama za rangi nje ya nyumba

    Kwa wale wajenzi wa nyumba zinazotumia paaa la ‘Hidden roof’, huwa wanalazimika kuingia gharama za mamilioni yabpesa ili kununua rangi ‘specialised’ zinazoweza kuhimili mvua bila kubanduka, kupauka au kupata ukungu. Kuna suluhisho nililipata miaka kadhaa nyuma, na wateja wangu wengi wamefaidika...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa bwawa la Mwl Nyerere kwapeleka kilio kwa mafisadi, Kwenye ukame huu wangewapiga watanzania mabilioni ya pesa

    Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi? Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
  17. JamiiForums Tanzania Mabilioni ya Wahindi (India) hawana pesa za matumizi - Wakati tunatengeneza Dira tuangalie kama ndio huko na Sisi tunataka kwenda...

    Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Dkt. Abdi Warsame anayeshutumiwa kwa wizi wa mabilioni yasikilizwa kisiri Kisutu, Waandishi wazuiwa

    Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanaiba mabilioni kisha wanakwenda kugala gala kwenye matope wakimsifu Mama

    Nchi hii ni ya watu wa ajabu kweli kweli. Sisi viongozi tunaona fahari kusifiwa. Ni hatari sana kupenda kusifiwa. Hapo ndipo watu wanapoiba mabilioni mengi ili kukwepa mkono wa sheria wanalala kwenye matope wakimsifu Mama. Hii ndo Nchi yetu ilipofika kwa sasa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yabainika Ufaransa ililipa mabilioni ili majasusi wake waliokamatwa nchini Burkina Faso waachiwe

    Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze kuachiwa. Majasusi hao walikamatwa nchini Burkina Faso mnamo Disemba mwaka 2023 na kuachiwa mnamo Disemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…