Hamjambo!
Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu.
Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii.
Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo.
Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...