mabadiliko ya tabianchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania COP 26: Mataifa zaidi ya 100 yaahidi kukomesha ukataji miti ifikapo 2030

    Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabianchi Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ambaye ni Mwenyeji wa Mkutano ametaja Makubaliano...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26). Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
  3. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi

    Rais Samia ataka wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi The Diplomat Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoikumba dunia na kusisitiza umuhimu wa kutopuuzia juhudi za kukabiliana na...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yatakiwa kulinda kwanza haki ya maendeleo huku ikishiriki kwenye jitihada za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi

    Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, “kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni” imekuwa maoni ya pamoja kivitendo ya nchi mbalimbali duniani, lakini nchi zilizoendelea ambazo zimekamilisha mchakato wa maendeleo ya viwanda zinachukua msimamo mkali juu ya suala hili. Mapema mwaka huu, nchi saba...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania UN: COVID-19 haikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi

    Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya kaboni katika sekta ya viwanda ulibaki katika kiwango kile kile cha mwaka 2019. Kitengo cha hali ya hewa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pwani: Wakazi Kijiji cha Mdimni hatarini kupoteza makazi kwa athari za mabadiliko ya tabianchi

    Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga. Na Mwandishi Wetu Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yasema juhudi zikiwa endelevu tunaweza kuinusuru dunia

    Ripoti iliyotolewa Agosti 9 na jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (IPCC), imetoa tahadhari kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayoendelea kutokea duniani yanaweza kuchukua maelfu ya miaka kurudi katika hali ya kawaida. Lakini pia ripoti hiyo hiyo imetoa matumaini kuwa kama juhudi za...
  9. Deshbhakt

    JamiiForums Tanzania Video: Barafu Biharamulo - Mabadiliko ya Tabia nchi ndio haya

    Global Warming?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yaliyotokea Ulaya na China yanatukumbusha umuhimu wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Mwezi huu wa Julai umekuwa ni mwezi wenye matukio mengi yanayohusiana na mabadiliko ya tabia nchi. Karibu nchi zote kubwa duniani zimekumbwa na matukio yanayothibitisha kuwa mabadiliko ya tabia nchi ni hatari ya kweli, na sio “jambo la kufikirika” kama inavyoelezwa na baadhi ya wanasiasa wa nchi...
Back
Top Bottom