Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake.
Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
Anatenda kama hatendi,...
Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.
Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.
Tumuombee,Tumtie...
Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko.
Wadau wengi wa michezo...
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekichambua kizazi cha vijana (Gen-Z) kama silaha kuu na yenye nguvu zaidi katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania, akitaja sifa tatu za kipekee zinazowafanya kuwa mstari wa mbele.
Akizungumza leo...
Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa.
Vitendo hivi wananchi hawavichukulii kama vitisho bali vinachochea moto na hasira lazima maiti ziachiliwe, mateka wote na wafungwa wa kisiasa waachiliwe...
Wizara ya Ndani, aliyekuwepo kaondolewa kwa sababu pale Kuna manunuzi ya upigaji, na alionekana ni mtu ambaye hapendi upigaji katika manunuzi hayo ndiyo maana kawekwa Bwana Mdogo asiyebweka.
Wizara ya Habari & Michezo, Kuna hela mingi sana pale za ujenzi na ukarabati wa viwanja vya michezo...
My people,
Utangulizi
Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni yule ambaye yupo open minded kusikiliza na upande wa pili hata kama ahafikiani na maoni na mawazo...
Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa. Wapo wanaotubeza, wanaotukejeli na hata wanaofurahia mateso ya wapigania mabadiliko. Lakini katika...
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa...
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.
Tukamalize kazi ICC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.