maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi au watu maarufu wanaoongoza kuwekwa kwenye Memes za kiswahili

    Kama inayoonekana # 1 mimi binafsi namuweka Jacob Zuma. Kwanza ana mapozi mengi sana na mapozi yote hata bila maelezo yanachekesha😆😆 Huyu ni #2 Yuweri Museveni huyu alianza na picha yake flani aliku akiangalia nyuma huku akionyesha kidole. Ilitamba sana mpaka milardayo akaipost pia. #3...
  2. TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia

    Mcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua akiishi uku akiwa ameshikilia sarafu iliyoandikwa maneno "you are always in my heart". Marafiki wa...
  3. Fahamu kuhusu Hayati Mzee Moi na fimbo yake maarufu kama “Fimbo ya Nyayo”

    Fimbo ya Rais wa zamani wa Kenya, Hayati Daniel Toroitich Arap Moi ilijulikana sana kama ishara ya nguvu, uongozi na mshikamano wa kitaifa. Fimbo hiyo liyotengenezwa kwa pembe za ndovu na dhahabu, ilibatizwa jina la 'Fimbo ya Nyayo'. Wachambuzi wanasema fimbo hiyo ilikuwa ishara ya nguvu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…