Familia sita kutoka kaunti za Nakuru na Laikipia zinapaza sauti kutaka haki itendeke kufuatia makabiliano makali ya Jumatatu yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi mmoja na kuwaacha wengine watano na majeraha ya risasi. Ian Mtai, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Laikipia mwenye...
Chama cha Wanasheria nchini Kenya (LSK) kimemkosoa vikali Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, kwa kutoa kauli inayopingana na uamuzi wa Mahakama Kuu uliopiga marufuku polisi kuficha utambulisho wao wakati wa maandamano.
Kauli hiyo ya Murkomen imetolewa Septemba 16, 2025, katika...
Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema
Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is enough
Kwako Lucas Mwashambwa 🥷Subaru
Hali imezidi kuwa mbaya huko Kenya katika maandamano yanaendelea lakini pia wanaibuka wahuni na kufanya mambo yao ya hovyo sana sasa hizi ni Kelele za Umma Baada ya Wahuni Kuvamia Hospitali ya Kitengela, Kuvuruga Upasuaji wa Mama Mjamzito na Kuharibu Kituo cha Upasuaji
Wanaume takriban 20 wenye silaha walivamia makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya siku ya Jumapili wakati taasisi hiyo ikiwa inajiandaa kufanya mkutano na waandishi wa habari uliolenga kuitaka Serikali ya Kenya kusitisha ukatili dhidi ya raia wake
Kupitia video ya CCTV, wanaume...
Wakuu,
Yaani Kenya kila mtu mbabe. Inaonekana kwenye haya maandamano kuna vijana wamevurugwa to the point wanachoma mali za Serikali.
Hii ni video inayoonesha vijana ambao The Citizen imewaita kama "wahuni" wamenaswa kwenye kamera wakichoma magari ya Serikali ya Kaunti ya Nyandarua mjini Ol...
Kenya ina vijana wengi sana ambao wameikimbia nchi yao, na wengi wao ni wale wenye elimu na akili nyingi. Hawa waliobaki Kenya hali zao za kiuchumi sio nzuri na hawajui kwanini hali zao kiuchumi sio nzuri hata baada ya kuandika Katiba mpya, kuwa na tume huru ya uchaguzi na hata kubadilisha vyama...
Video hii ikonyesha maumivi ya watu walijitoa kupambani haki lakini maisha yao yakakatishwa njiani
Kwa masikitiko na heshima kuu, tunawakumbuka mashujaa zaidi ya 60 waliopoteza maisha yao wakisimamia kile walichoamini – haki, uwajibikaji na mustakabali bora wa taifa.
Update
At least 16 people have been killed in nationwide rallies against police brutality and government corruption in Kenya, according to Amnesty International and the Kenya National Commission on Human Rights.
Another 400 people were injured on Wednesday, including protesters, police and...
BUNGE LA KENYA LALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO CHAKE KUTOKANA NA UPUNGUFU WA WABUNGE HUKU MAANDAMANO YA GEN-Z YAKIENDELEA
Bunge la Kitaifa la Kenya lililazimika kuahirisha kikao chake mapema leo kutokana na kukosekana kwa akidi, huku Wabunge wengi wakiripotiwa kutohudhuria kufuatia maandamano...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali
Kwenye ripoti yao ya hivi karibuni imeonesha kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji takrbani 82 tangu maandamano dhidi ya...
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.
2. Ruto akiteua girlgriend wake kuwa Waziri.
3. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo...
Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya...
Watu wasiojulikana wakiwa kwenye pikipiki walifika katika ofisi za mwanaharakati Boniface Mwangi Jumamosi alasiri, wakisababisha vurugu na kuvuruga shughuli za kawaida katika eneo hilo.
Mwangi, ambaye alijibu tukio hilo baadaye, alifichua kwamba aliripoti suala hilo katika Kituo cha Polisi cha...
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali.
Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM)...
Article 33(1) of the Constitution of Kenya provides that every person has the right to freedom of expression while Article 34(1) guarantees freedom and independence of the media.
However, the right to freedom of expression as well as the freedom and independence of the media does not extend to...
16 July 2024
Nakuru, Kenya
Mheshimiwa rais William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya alaumu mashirika ya kijamii yasiyo ya kiserikali pamoja NGOs kama mfuko wa wakfu wa US-Funded Ford Foundation.
NGOs nyenye makao yake katika nchi za kibeberu kwa kufadhili maandamano yasiyo na kikomo ya vijana wa...
Mwandishi wa habari wa Kenya, Catherine Wanjeri Kariuki, anayefanya kazi kwa Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi huko Nakuru wakati akiripoti maandamano yaliyoongozwa na vijana wakitaka rais aliyezingirwa William Ruto ajiuzulu. Alikimbizwa Hospitali ya Valley.
MediaMax inamiliki K24 TV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.