maandamano julai 7

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Wasioitakia mema nchi yetu wanahamasisha kufanya vurugu, hatutasita kuchukua hatua

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo. Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa. Akizungumza Julai...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ambaye anaona sina Mamlaka tutakutana kwenye sheria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akifanya mahojiano na UTV Julai 1, 2026, amesema maandamano yoyote yanapaswa kufuata taratibu za kisheria ili yarasimishwe na kuwekwa katika mazingira salama. Akijibu swali kuhusiana na kifungu cha sheria katika Katiba inayompa Waziri wa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tumekuelewa, tutailinda amani ya nchi zaidi ya nyeti zetu

    Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba. Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna faida yoyote tunayoweza kupata kwa hawa wanaharakati uchwara wanaotaka kutugombanisha wenyewe kwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani

    Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akihojia na kituo cha Redio cha VOS Juni 25, 2026 amesema "Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani." Heche ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Bara amefafanua kuwa haki ya kukusanyika na kuandamana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hongera vyombo vyetu mmeweza kudhibiti vurugu hizi ni wazi kwamba 7/7 itakuwa swari

    Pongezi zenu vyombo vya nchi hii haswa jeshi la polisi na usalama mmejipanga mko attention kama siafu wanaovuka njia. Ni wazi kwamba bila hata kuambiwa waandamanaji wamerudi nyuma sana Sasa basi ushauri wangu kwenu hii mbinu na hizi nguvu baada ya hapa zikatumike kulinda raslimali za...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumezuia mikutano ya siasa kuepusha watu wenye nia mbaya kurusha mabomu na kuua watu wengi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema hatua za kudhibiti mikusanyiko mikubwa zimechukuliwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha uwepo wa watu wenye nia mbaya ya kutumia mikutano hiyo kusababisha madhara makubwa, ikiwemo mashambulizi ya mabomu au ufyatuaji risasi. Kwa mujibu wake, baadhi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DC Mtambule: Uchunguzi wa vipeperushi vya Maandamano Kinondoni unaendelea, Polisi watawabaini walio nyuma

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, Juni 30, 2026, akihojiwa Kupitia Wasafi FM, amesema uchunguzi kuhusu vipeperushi vilivyosambazwa wilayani humo unaendelea kwa umakini mkubwa ili kubaini waliohusika. "Mimi ninachotambua, ninachojua ni kwamba uchunguzi seriously unaendelea, kubaini ni...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Vijana wa Tanzania wamenituma niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani

    Msanii wa filamu nchini, Steven Mengele, maarufu Steve Nyerere, amesema ametumwa na vijana nchini kwamba; "niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani" akisisitiza kuwa vijana kwa sasa wameamua kuacha kukaa vijiweni na badala yake wanapambana mchana na usiku kujitafutia kipato halali. “Vijana wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata leo Juni 15, 2026 amesema; "Kwasababu mmeona pia hata kwenye mitandao, baadhi ya watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye mikoa yetu. "Na kwa bahati mbaya sana, nguvu ambayo huwa inatumika...
Back
Top Bottom