maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad bado anautamani uCAG? maana anaongea utadhani Kicheere hayupo!

    Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu. CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake anarudia tena yale yale . Assad endelea kusimamia taaluma hapo chuo cha Tanesco mwache Kicheere afanye yake!
  2. JamiiForums Tanzania Kama taifa linaongozwa na 60% ya viongozi wasio na Upeo, maana yake hata Raisi yumo?

    Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana...
  3. JamiiForums Tanzania Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

    Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa utawala huu wa awamu ya 5 ambazo zilikuwa zinampamba sana mwendazake na kueleza Taifa letu linapaa sana...
  4. JamiiForums Tanzania CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tuangalie maana ya neno Dikteta

    Dikteta (kutoka Lat. dictator yaani mwenye kutoa amri kama imla) ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake. Pale ambako mtu au kundi la watu hutawala kwa mbinu huu hali ya kisiasa huitwa udikteta. Mfalme...
  6. JamiiForums Tanzania Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    Mshiki: Dada Mamkwe: Mtoto wa Pili wa Kike katika Familia Haikaelly: Asante Mungu - Jina la kiume Haika: Asante,Jina la kike Finyaelly: Nguvu za Mungu Ndekarisho: Ndekirwa: Nderingo: Elikunda: Mungu Kapenda Kundaelly: Mungu amependa Siaelly: Wale wanajua maana waongeze hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…