maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

    Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika . Ili kuepuka jambo...
  2. Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

    Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70. Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko. Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
  3. J

    Kwanini wabunge wa viti maalum Chadema wanaitwa ni wabunge kutoka Chachandu?

    Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU. Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia. Kazi Iendelee!
  4. Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  5. Weka hapa wazo lolote la Kiuchumi ambalo likitekelezwa litasaidia nchi yetu

    Niwaombe watanzania na wote wenye mapenzi mema na taifa letu kutoa mawazo yao ambayo yakitekelezwa au kuboreshwa yatasaidia: Kuinua uchumi. Kutengeneza ajira mpya. Kukuza biashara. Kuanzisha bishara. Kuvutia wawekezaji. Kuongeza ukusanyaji wa kodi/mapato. Kuboresha miundombinu. Mawazo sio...
  6. IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  7. Rais Samia Suluhu Hassan tusaidie kutengua kitendawili cha wasiojulikana

    Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana. Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana. Katika hiyo...
  8. Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara. Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…