maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maafisa watano wa polisi wameuawa Mogadishu kwa bomu la kujitoa mhanga

    Mlipuko huo ulisababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga aliyevalia vazi la kujilipua ambaye aliwaendea maafisa hao nje ya kituo cha wilaya ya Waberi majira ya saa tatu na nusu usiku kwa saa za huko, mashahidi walisema. Maafisa watano wa polisi ni miongoni mwa watu wasiopungua sita waliouawa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumushi, Mchengerwa: Maafisa utumishi wasiopandisha madaraja kutumbuliwa

    Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio. === "Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
  3. JamiiForums Tanzania Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

    Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
  4. JamiiForums Tanzania Rais ingilia kati suala la Uhamisho kwa watumishi, tumechoka kuibiwa na Maafisa wa Tamisemi

    Wakuu hamjambo,ni matumaini Yangu kuwa hamjambo,mnaendelea na ujenzi Wa taifa kama kawaida. Naomba twende kwenye hoja Yangu,nimekuwa nikifatilia swala la uhamisho kwa watumishi Wa umma na urasmu uliopo,ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Serikali kutoa tamko kuwa uhamisho umefungwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…