maafisa uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maroon7

    Maafisa uhamiaji wa Julius Nyerere Airport hawana professionalism

    Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi. Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi. Mwishowe yule...
  2. F

    Pwani: Maafisa Uhamiaji wakamata Raia wa kigeni wenye mitambo ya kuchapisha noti

    Maofisa Uhamiaji mkoa wa Pwani wamewakamata raia wawili wa Afrika Magharibi wakiwa na karatasi za kuchapisha pesa bandia, kemikali na kasiki (safe) la kutunzia fedha. Watu hao wamekutwa pia na hati za kusafiria 34 za nchi za Nigeria na Ghana. Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom