maadili ya viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Malalamiko mengi ya wananchi wakati wa maandamano yalihusu Maadili ya viongozi

    Ridhiwani Kikwete umesema vyema kabisa, na sisi tumekuelewa. Ujumbe huu wapelekee pia mabosi wako, Samia Suluhu Hassan na Mwigulu Nchemba ambao hadi sasa wanatuona watanzania ni mazuzu, kwamba hawaelewi watu walikuwa wanalalamikia nini kiasi cha kuandamana. Nakunukuu "Malalamiko juu ya maadili...
  2. saidoo25

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma mna kauli gani kuhusu tuhuma za Utajiri wa Mwigulu Nchemba?

    MOJA ya Jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kuchunguza Malalamiko au tuhuma zinazotolewa na wananchi dhidi ya kiongozi fulani wa umma, Mwigulu Nchemba amekuwa akituhumiwa na wananchi kuwa na ukwasi uliopitiliza huku wapi alikozitoa mali hizo ikibaki kuwa utata...
  3. Roving Journalist

    Viongozi 9 kufikishwa Baraza la Maadili kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Maadili, kuna DC, Hakimu & Meneja TANESCO

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya...
  4. Roving Journalist

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya Maadili...
  5. J

    Tunapitia nyakati Ngumu RC kutuhumiwa kubaka, Paroko kutuhumiwa kuuwa albino, Mbunge kumtuhumu Waziri kuhujumu uchumi!

    Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni Ahsanteni Sana 🐼 SOMA - MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT - Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na...
  6. R

    PreGE2025 Umma wa watanzania hasa VIONGOZI wa DINI, kemeeni Rushwa ya waziwazi ya Pikipiki za Rais Samia

    1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like 2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa 3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni...
Back
Top Bottom