Habarini zenu wanajamvi.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kuna muda nimepima magonjwa yafuatayo ; uti,typhoid,amoeba,malaria, nilipima haja kubwa na ndogo kwa pamoja, katika maabara kama tatu hizi za wafanyabiashara ama za mtaani ila naambulia majibu tofauti.
Yani hapa una uti ila huku...