lugha ya kingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. samalema89

    Lugha ya kiingereza ni changamoto kwa Watanzania

    Kwanini lugha ya kiingereza ni tatizo kwa Watanzania na wanafunzi wengi wa Tanzania hususan wa shule za kata
  2. M

    Kocha wa Simba ateue mchezaji (Captain) mwenye hamasa na timu na angalau anayejua lugha ya kingereza kuongea na mwamuzi

    Ubaya Ubaya! Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona angalau kapteni shabalala akihamasisha wachezaji wenzake wamlazimishe refa kwenda kuangalia kwenye...
  3. FaizaFoxy

    Tusishobokee Kingereza, ni moja katika lugha mbovu duniani

    Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili: 1. Nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni...
  4. Hekima ni Mwalimu

    Marafiki wa kuongea nao kingereza

    Habari Wana jf, natafuta marafiki wa kuongea nao na kuchat nao kingereza Kama uko interested ni fuate pm Unitumie namba yako .
Back
Top Bottom