Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno.
Soma,Pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari
Jota alipata ajali hiyo leo...