lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe. Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu? ---- Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za CHADEMA: Lissu kugombea uenyekiti ni mtego kwake?

    Na : Twahir Kiobya (The Man) Ni rasmi sasa Lissu anautaka uenyekiti ndani ya CHADEMA. Ametangaza nia yake kupitia vyombo vya habari na umma umesikia. Azimio hili la Lissu ni uamuzi mzito na ni la kihistoria ktk chama cha CHADEMA. Kama Mwenyekiti wa sasa ndugu Freeman Mbowe atagombea uenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu ana wajibu muhimu wa kutunza umoja wa CHADEMA pamoja na changamoto zote za ndani ya chama.

    Tundu Lissu afahamishwe katika kushika dola umoja ni muhimu zaidi kuliko hata sera, uhalisia na ukweli. Pamoja na yote anayofanya lazima ajue lugha ya ukali anayotumia kwa CCM na serikali haifai na haiwezi kudumisha umoja ndani ya chama chake, anapaswa kuipooza. CHADEMA hakijawahi kushika dola...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea iwapo Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Chadema?

    Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema. Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti Chadema, watu wengi hasa wafuasi wa chama tawala walikuwa wakipiga kelele Kuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

    Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu. Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu haoni hatari inayomnyemelea pamoja na maonyo yote? Mungu pisha mbali, anajiamini nini wakati anapambana na viumbe wasio na huruma?

    Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu...
  9. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere kusifia wenzie wenye ‘connections’ na Abdul ina maana haoni shida wananchi kupewa stahiki zao kwa milango ya nyuma

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Katekela: Ningekuwa Lissu ningeokoka na kuwa Mchungaji, Mungu anakusudi naye

    Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu. Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha siasa na kugeukia uchungaji. Mchungaji huyo ambaye awali aliokoka baada ya kutumikia Shirika la Siri la...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe alijua Lissu hana uwezo wa kuwa Rais wa Nchi hii, ndiyo Maana hakuzunguka kumnadi kama alivyomnadi Hayati Lowassa 2015

    Ndugu zangu Watanzania, Mwaka 2020 Lissu kwa kujazwa upepo na wafuasi wake kiduchu na wale waishio nje ya Nchi na kwa kudanganywa na waliokuwa wamempa makazi huko ulaya akajiona kuwa ana uwezo wa kuwa RAIS wa Tanzania na kuchaguliwa kwa kura za kumpa ushindi. Lakini Watu aina ya Mbowe Mwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

    Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga. Tumeshuhudia...
  13. JamiiForums Tanzania Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, ndani ya miezi miwili kafanikisha kumpatia Sativa vibali vya kuishi Ubelgiji.

    Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi. Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu. Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa faida ya Tanganyika ijayo ipo haja kwa watanzania wote wafurahie Tundu Lissu kuomba nafasi ya Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

    Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. "Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…