lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

    Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine. Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama. Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
  2. britanicca

    Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

    Ninaongea haya nikiwa najua mengi !! Kwa sasa una maadui wawili 1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua 2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao Britanicca
  3. Allen Kilewella

    CCM naona mmekosa mlichokita Mkutano wa Lissu

    Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu. Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla. CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.
  4. Ojuolegbha

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizun

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  5. Influenza

    PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
  6. Ojuolegbha

    Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12,

    Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12, 2024, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alieleza kuwa Freeman Mbowe ameongoza chama kwa muda mrefu...
  7. Yoda

    PreGE2025 Lissu: Hatuhitaji tena ubunge wa viti maalumu, sio suala la ukomo tena, wanawake sasa wana uwezo

    Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA. Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa kuwajengea uwezo wanawake wa kushiriki katika siasa lakini kwa ubovu wa katiba yetu haikuweka ukomo...
  8. lugoda12

    KUTOKA KWA TUNDU LISSU

    "Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa" Mh. Tundu Lissu
  9. Waufukweni

    Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa. "Haikuwa rahisi kwangu kufikia uamuzi wa kugombea nafasi ya...
  10. R

    TUNDU Lissu, nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA na ugombea Urais haviendi pamoja, utaachia ipi?

    Habari! Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea, Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie, Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya 1. Ugombea Urais 2025. 2. Uenyekiti wa chama Taifa...
  11. S

    Nyerere alipokuwa anatarajiwa kutoa hotuba, nchi nzima ilikuwa inasubiri kwa hamu. Baada ya Nyerere, leo hii ni Tundu Lissu tu

    Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki: Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku akiwa na shauku ya kutaka kusikia atachosema. Mbali na wanachi, hata vyombo vya habari vya ndani na vya...
  12. sinza pazuri

    Ukweli usemwe: Lissu yupo kwenye mission ya kuiua CHADEMA

    Tundu Lissu ameamua kuia CHADEMA kwa mikono yake mwenyewe. Anapita kila kona kukishambulia chama chake hadharani. Ameunda mtandao kukishambulia chama chake. Anasema chama chake kinanuka rushwa. Anasema chama chake hakina mipango ya kueleweka ili kuiondoa CCM madarakani. Anasema chama chake...
  13. sonofobia

    Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

    Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari. Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae. Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao. Update Ukumbi ni Mlimani City Muda ni saa 5 asubuhi Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na...
  14. sonofobia

    Lissu: Siogopi kuitwa msaliti

    Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni. Leo amesema hayo mbele ya Mbowe. Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano...
  15. Waufukweni

    Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  16. R

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea...
  17. K

    Tetesi: Tundu Lissu atakuwa bilionea TSh miaka miwili ijayo

    Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe. Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi mawakili wanataka 30% lakini Lissu amekazia hapo wakati wengine wakitaka 30% pamoja na gharama za...
  18. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

    Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
  19. sonofobia

    PreGE2025 Je, Lissu ataweza kumng'oa Mbowe?

    Miaka zaidi ya 20 akiwa mwenyekiti wa Chadema imekuwa ni kama jinai kugombea kiti chake. Mbowe sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Tundu Lissu kipenzi cha wapenda haki ndani ya chadema. Ni wazi kuna kila dalili Lissu kumuangusha Mbowe. Je atafanikiwa? Tupe maoni yako
  20. J

    Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

    ..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya...
Back
Top Bottom