lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Lisu na yeye ni mwanasiasa

    Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA. Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema Maslahi yake na familia yake. Sio kulamba bali hata kunywa asali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  3. JamiiForums Tanzania Hoja anazoaminia Makamo Mwenyekiti CCM Mzee Wassira dhidi ya Akina LISSU

    LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita . Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani ) Tukiwapa Urais Amani itapotea. Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote. Hao ni vibaka na walopokaji . Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

    Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu watafanyakazi pamoja dhidi ya CCM

    Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake na pande mbili zilizokuwa kinyume chake. Upande wa kwanza ni watu wa CCM. Na ingekuwa ajabu kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu alikuwa na wagombea wake uchaguzi CHADEMA? Huu ndio ubaguzi aliompinga Mbowe?

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari. Ni kura ya mabadiliko pekee...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema hataki chawa, Mbona anao

    Katika siasa, neno "chawa" hutumiwa kama matusi au dhihaka kumwelezea mtu anayemuunga mkono au kumtetea kiongozi fulani kwa upofu, bila kuuliza maswali au kuzingatia ukweli. Tujiulize Lissu na Heche hawana machawa? Jibu wapo wengi 1. Nani anahoji hivi sasa? 2. Hawamsifu Lissu? 3. Hawapogi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kashindwa mapema?

    Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano. Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao. Sote...
  11. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua Lissu anaepeleka wapi atwambie

    Anaejua Lissu anaepeleka wapi chadema atwambie. Mimi naona giza tu mbeleni
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

    Wanakumbi. Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje? Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!.. Tukiwaambia huyu mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Heche: Mzee Wasira Lissu sio saizi yako, Lissu atashughulika na Rais

    “Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano flani na Mwenyekiti wetu wa Taifa, kwamba Wasira amshughulikia Lissu, Mzee Wasira Lissu sio saizi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  17. JamiiForums Tanzania Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

    Najua wenyewe hawapendi. Ni kazi tu za order. Uzi tayari
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Lissu atafanya vipi kazi na viongozi wenzake aliowatangaza ni watoa rushwa?

    Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni wao kusemwa vibaya wakati wa kampeni. Lissu alisema wazi chaguzi za kanda na mikoa zilijaa rushwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka Tundu Lissu Ashindwe ili Ajirudi, Atubu na Aseme Ukweli

    Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu. Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake.. toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho. Tanzania kuna...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

    Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu. Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…