lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nipo na " Mstudy" Lissu kwenye laboratory yangu. Bado sijamuelewa vizuri huyu kiumbe

    Na mstudy Lissu kwenye maabara yangu. Bado sijaelewa ni kiumbe wa namna gani... Hafanyi vitu vya ajabu sana lakini still bado ana nguvu kubwa sana ya watu wanao mpenda na kumkubali. Watu wa dini zote itikadi zote.. Pia anaonekana ni mtu ambae ukishindana nae, inaibuka nguvu isiyo onekana...
  2. JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  3. JamiiForums Tanzania Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  4. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa Lissu anapo geuka Professor wa Sheria Mahakamani

    https://youtu.be/CgyBs9twems?si=zmVMyhWhW6u4JAPf Tundu Antipasi Lissu amethibitisha kuwa ni mwana sheria nguli aliyebobea katika maswala ya sheria za Kitaifa na Kimataifa. Msikilize hapa. Utapenda 😁🤣
  5. JamiiForums Tanzania Lissu atisha...ni heri umkabili simba nyikani kuliko kumkabili Lissu mahakamani!

    Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka. Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli kiapo cha kutunza siri kinakuwekea mpaka kuusema uhuni wa wahuni wanaoichafua nchi

    1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku... 2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..? 3. Kwa hali ilivyo sasa, ili kuuponya uhai wa Binti Kiziwi, ni lazima tu wahuni wanataka kuliangamiza taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Karma ya Paskali kazini: Walidhani Maadui zao ni Lissu na Chadema wakatumia hela nyingi kupambana nao. Kumbe adui wanae ndani

    Kile kikundi kidogo cha dola ya CCM kilidhani adui yao ni Chadema na Lissu. Wakatoa hela nyingi kuhakikisha Chadema inaparanganyika ili ife. Wakamkamata Lissu na kumuweka gerezani. Wakatumia Mahakama ya hovyo kuzuia shughuli za Chadema. Cha kushangaza, Mungu wetu sote. Kumbe adui wao halisi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Kauli ya Lissu 'Uchaguzi usipokuwa huru tutakwenda Ikulu kuichukua kwa nguvu ya umma' haikuwa ya kiuongozi

    Akijibu swali kuhusu kesi ya Lissu, Polepole amesema sheria zinambana hawezi kuzungumzia hiyo kesi sababu ipo mahakamani Ameongeza kuwa, 2015 nilikemea kauli mbili nikasema kauli hizi si za uongozi. Kauli ya kwanza ilikuwa ya Nape ya Goli la mkono, nikasema haiakisi misingi ya CCM, acha mambo...
  9. JamiiForums Tanzania CCM waliruhusu upinzani wa kudhibitiwa na kuongozwa na dola tu "controlled opposition", sio upinzani huru huu wa Lissu anaoutaka

    Mwaka 1992 ambapo inadaiwa siasa za ushindani zilirejeshwa tena nchini, raia wengi (80%) inasemekana walikuwa wanataka mfumo wa chama kimoja uendelee lakini CCM ikafanya jambo la nadra sana lisilotegemwa la kuwasikiliza wachache(20%) na kukubali kurudisha mfumo wa vyama vingi uliondolewa mwaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mama kashikana mkono na Mbowe mbele ya hadhara ili kuihadaa Jumuiya ya kimataifa ila ajue .Kesi ya Lissu ndio kila kitu sio Mbowe

    Huu ndio ukweli mchungu CCM hawajui walitendalo! Wanasahau Mbowe kashindwa uchaguzi na anaonekana kuwa na kinyongo. Wanasahau wazungu wanafika mahakama kufuatilia kesi ya Lissu na huyo Mbowe haonekani. Hata wageni leo watakuwa wamemshangaa Mbowe asiefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Pamoja na figisu zote za kisiasa anazofanyiwa Lissu na CHADEMA kutoka kwa Mbowe na CCM, bado naamini atashinda

    Sijafurahishwa kabisaa na kitendo cha Mbowe kuungana na CCM kumshughulikia kisiasa Lissu, naamini kabisa haya yote anyopitia Lissu na CHADEMA ni mchoro wa Mbowe moja kwa moja. Wengi walitutahadharisha humu, tusimuamini Mbowe ila tuliwakatilia kabisaa, lakini kuanzia leo imedhihirika rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yafafanua zuio la CHADEMA, zuio linawahusisha Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

    Asalam aleykum waislam wenzangu. Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif. Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa. Mwanzoni mwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

    Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine. Korti ya karne AI ikatae kuficha...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  16. JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU: Safari ya Mchoma Mwiba wa Mfumo, Msimamo Usioyumba, na Ndoto ya Tanzania Mpya

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake. Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

    Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania. Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc. Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!

    Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!! Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa. Kuendelea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kiboko kubali au kataa

    Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali. Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo...
  20. JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…