lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano. Pia Soma Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
  2. JamiiForums Tanzania Mh Rais Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa ilihali watoto wetu walikufa? Tundu Lissu ANAISHIA magereza au unamtoaga usiku analala IKULU?

    Mh Rais shikamoo Mimi ni Mtanzania niliyemsaidia san Hayati Magufuli kufanya aliyo yafanya kupitia hapa hapa Haya ebu sema Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa? Watoto wetu walikuwa ndugu zetu tarehe 29 ndo imeisha hiyo? We mama msawalie mtume tafadhali halijaisha mpka liishe Ili mama
  3. JamiiForums Tanzania Imetosha majeraha na makovu mliotuacha nayo October 29 tunaomba mwachieni Lissu

    Tuna maumivi tuna makovu na majeraha nyie hamuwezi kutufariji ni mpumbavu pekee anaeweza kusema watanzania watasahau. Tunaomba mwachie Tundu lissu bila masharti yoyote tunaomba Pole pole ni ayo tu kwa sasa
  4. JamiiForums Tanzania Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

    Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi? Akaandika Malisa Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kibwenzo cha Lissu hatimae kawapata Polisi, Wanasheria wa Serikali na Mashahidi wa Kificho!

  6. JamiiForums Tanzania Heche: Gari la Lissu Lilishanunuliwa, lipo na ni Jipya!! Tunasubiri atoke tumkabidhi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa. Akizungumza na kituo cha East Afrika katika kipindi cha "The Interview". Heche ametoa taarifa hio baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Idu nacheka ninapofuatilia kesi ya Lissu. Kwamba mtuhumiwa anawafundisha waendesha mashitaka nini cha kufuata kisheria!

    Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo. Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali. Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza. Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela, mtamtesa lakini kamwe hatopigia mtu magoti na mwisho wa siku atashinda kesi na kuwa maarufu zaidi

    Ukweli ndio huo labda mummalize maana nyinyi hamna aibu wala utu au mumfunge kwa hila kama alivyofungwa Mandela
  9. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Serikali imuachie mara moja na kumlipa fidia Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
  10. JamiiForums Tanzania Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
  11. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Jamhuri vs Tundu Lissu: Tafsiri ya Shahidi na Ushahidi

    1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi" Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo. Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba). Jibu la Lissu...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Chande wanasubiri Mahakama imuhukumu Lissu kuwa na Hatia, ili nao waje na hitimisho la MO29 ílisababishwa na Lissu. TUJIANDAE KWA MAANDAMANO

    Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu. Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA. NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matokeo ya Kesi ya Lissu na Tume ya Chande YANAJULIKANA, anayetegemea tofauti labda haijui Tanzania

    Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Tume ya Chande haina kazi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Heche: Nimezuiwa kuonana na Mwenyekiti Tundu Lissu Gereza kuu Ukonga kinyume cha sheria

    Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria tusaidie kuhusu kesi ya Lissu, maelezo ya mahakamani yakitofautiana na Yale ya polisi inaweza kuathiri maudhui ya ushahidi?

    Binafsi Niko hapa kupata elimu kidogo juu ya mambo ya kisheria Nimeona kesi ya Lissu akiwahoji mashahidi upande wa serikali, ila zaidi amekuwa akiwahoji kuhusu utambulisho wao na maelezo Yao ya awali waliyotoa police, na dhahiri yameonekana Kuna tofauti kubwa Naomba kuuliza ikiwa police...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  18. JamiiForums Tanzania Februari 20: Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu inaendelea leo. Shahidi wa kificho (P9) anatoa ushahidi

    Wakuu, Kesi ya Lissu inaendelea leo Kaa karibu na uzi huu kupata updates ya kinachoendelea Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri...
  19. JamiiForums Tanzania Busara za Idu: kwa nini pesa zinazotumika kuendesha kesi ya kipuuzi ya Lissu zisitengeneze madawati kwa ajili ya wanafunzi vijijini?

    Kwaza swali kubwa la msingi Lissu anashitakiwa kwa uhaini au kuchochea uchaguzi usifanyike? Kwamba alichochea vipi? Kwa watu kutazama video you tube na kuwafanya wakazuia uchaguzi kufanyika! Uhaini ni kosa kubwa kuliko yote hapa nchini. Alikuwa na majeshi ya kupindua nchi? Kama hakuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…