lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

    Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa. Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo. Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
  2. Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo. Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu. Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
  3. S

    Polepole ni faraja kubwa sana kwa Lissu alieko Jela kwa tuhuma za mchongo

    Naamini Lissu ana taarifa zote za yanayoendelea huku nje japo yeye yuko behind bars kwa tuhuma zisizo na kichwa wala migiu zaidi tu ya watu kutumia vibaya madaraka yao. Hata hivyo, watesi wa Lissu nao kwa sasa wanapita kipindi kigumu japo wanakula na kula pazuri lla ukweli ni kwamba hawana...
  4. Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
  5. BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia" === Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
  6. GE2025 Video: Aliyoyasema Lissu kwenye interview hii na Stanslaus Lambert ndio kinachomtokea Mpina na wapinzani muda huu

    Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda vyama vingine kugombea Ubunge kwani hata huko wanapoenda hawatachaguliwa. Anasema hapa, mamlaka za...
  7. Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

    Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata . CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
  8. GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  9. Kishindo cha Lissu CCM yote ikavurugikiwa!

    Hivi wao wangendelea na mpango wao wa kuwafanya watu wao watiki, halafu Lissu aendelee kufanya harakati za NO REFORMS NO ELECTION, kwani kingetokea nini? Kishindo cha Lissu kimeifanya CCM nzima ichanganyikiwe na kukanganyikiwa.
  10. GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  11. Lissu aliwahi kusema ukiona watu wanasema wanamuachia Mungu ujue , Something is wrong

    Wajinga ambao hutumia fake I'd , key body warriors , Wamekaa, wakisuburi Polepole, Gwajima na Lissu wawapambinie. Ni ujinga mkubwa Sana huu. Lissu aliwahi kusema hakuna kumuachia Mungu.
  12. Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
  13. K

    GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  14. Lissu , anaamini anaweza kuwapigania watu wajinga kama watanzania Keybord worriors !Ahh is waste of time and energy.

    Is waste of time and energy kusema umpambanie Mtanzania . Familia yake hawakuwa wajinga kumshauri aachane na huo ujinga unaitwa siasa.
  15. R

    Hawa ndio wanapambana kwa nguvu zote ili wamnyonge Lissu

    c&p Kutoka X Hawa ndio wanapambana kwa nguvu zote ili wamnyonge Lissu. Tuwaombee maisha marefu ili nao siku moja wavalishwe pingu na kusimama Kizimbani Nassoro Katuga Tawabu Issa Job mrema Mosie Kama Cathbet Mbilingi Winiwa Kasala Tuwaombee wapo ofisi ya DPP waishi maisha marefu ya shida...
  16. Kwanini Lissu alikuwa ndo mwanasiasa wa kwanza kuulizia alipo Rais Magufuli?

    Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli? Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
  17. POTOSHI Sugu asema Lissu ni Mhaini, wana CHADEMA kanda ya Nyasa wanaikataa na hawaitaki 'No reforms, No election'

  18. S

    Kwa watu makini, adui wa Chadema sio Samia na CCM, na wala adui wa CCM sio Lissu na Chadema; nyote mna adui mmoja - Wanamtandao!

    Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana. Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi...
  19. Polepole: Lissu aachiliwe aende zake nyumbani

    Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
  20. R

    GE2025 Ni kweli Lissu anatumiwa na CCM kuiondoa CHADEMA kwenye uchaguzi kijanja?

    Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa. Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…