line

Líně is a municipality and village in Plzeň-North District in the Plzeň Region of the Czech Republic. It has about 2,800 inhabitants. Líně lies approximately 11 kilometres (7 mi) south-west of Plzeň and 95 km (59 mi) south-west of Prague.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Samsung A14 storage 128 double line

    Samsung A14 Storage 128Gb Clean Double line Bei 280,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

    Watalaam Simu nayotumia ni iphon 11 Mnisaidie
  3. A

    JamiiForums Tanzania UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby line "mguu sawa" safari za Dar-Tanga, haijawahi tokea

    Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar. Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Line za mabando

    Mabando ya mitandao ya Voda Tigo Airtel Halotel Kama una hizi line weka bei nikucheki
  7. JamiiForums Tanzania Line za M2M kwa 12K

    .
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

    Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi. Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena. Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia. Line nilizonazo ni...
  10. JamiiForums Tanzania TIGO sasa ile laki 8 yenu ya nivushe plus tumemalizana kiaina. Ngoja nisajili line ya YAS

    Mliposikia Mh. Lissu Rais ajaye wa Tanzania kufungua kesi ng'ambo nanyi mkajiona wajanja mkabadili jina la kampuni. Sidhani kama mnaweza kuwakimbia wanasheria wabobezi kwa namna hiyo. Ok yote kwa yote na Mimi laki 8 yenu napita nayo shwaah. Siwezi kumlipa YAS, Mimi simfahamu
  11. JamiiForums Tanzania Tanesco muwe na line zenu za simu kwa ajili ya LUKU. Mitandao inatutesa

    Hali ni mbaya sana sasa hivi kwa mitandao ya simu kuhusu swala la kununua umeme kupitia simi za viganjani. Imagine unanunua umeme kupitia twigoopesa unakaa masaa matatu hakuna token na giza linaingia ukipiga simuzao zinakatwa hakuna majibu. Kwanini nyie Tanesco msiwe na line zenu za simcard...
  12. JamiiForums Tanzania Komandoo Ahmaz wa Hezbollah Navy aliyekamatwa na Israel akutwa na line ya simu ya tiGO

    srael has confirmed its involvement in the abduction of Lebanese national Imad Amhaz. The Israeli Army Radio reported that the operation was planned well in advance, awaiting the right moment for execution. For Tel Aviv, Amhaz is linked to the smuggling of naval weapons from Iran through Syria...
  13. JamiiForums Tanzania Hiphop punch line

    "Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko, Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu, Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho Unaemtaka haumpati utampata wapi,Anaekutaka hautaki haumpi nafasi....” #fidQ #ulimimbili shuka na yako...
  14. JamiiForums Tanzania Line za uwakala

    Kama wahitaji laini za uwakala..unapata 4 ukiwa na laki 3 Vigezo ni Tin Number na Kitambulisho cha NIDA Napatikana Ubungo Kwa mawasiliano 0656652250
  15. JamiiForums Tanzania NAUZA LINE ZA UWAKALA WA MIAMALA YA FEDHA

    Wahi offer Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili Imebaki Halo pesa na Airtel money, Zote nataka 90K Karibu Dm
  16. L

    JamiiForums Tanzania Anayeuza line ya safaricom

    Natafuta line ya safaricom ambayo inafanya kazi upande wa mpesa hata kama imewahi kuungwa paypal. Mwenye nayo akiwa dar anauza naomba ani PM
  17. JamiiForums Tanzania Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  18. JamiiForums Tanzania Nina Halotel CUG Line, nawezaje nunua vifurushi vya kawaida?

    Wakuu husikeni na kichwa hapo juu. Naomba muongozo wenu.
  19. JamiiForums Tanzania Kujua mtu aliyekupigia kwenye Line ya Tigo kama haukuwa hewani

    Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
  20. D

    JamiiForums Tanzania Line za MTN zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Nawezaje kupata kwa hapa Dar line za MTN for Rwanda, msaada
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…