line

Líně is a municipality and village in Plzeň-North District in the Plzeň Region of the Czech Republic. It has about 2,800 inhabitants. Líně lies approximately 11 kilometres (7 mi) south-west of Plzeň and 95 km (59 mi) south-west of Prague.

View More On Wikipedia.org
  1. Yesha

    $20 Million Lawsuit Over “Nants’ Ingonyama” — Where Do We Draw the Line?

    Grammy-winning composer Lebo M has filed a $20 million lawsuit in a U.S. federal court against Zimbabwean comedian Learnmore Mwanyenyeka. At the center of the dispute is the iconic “Nants’ Ingonyama” chant — widely recognized from global productions. Lebo M alleges the chant was misused and...
  2. Ziroseventytwo

    Sumsung Galax F flip3 5G, ya mtumba. Nikiweka line inaniandikia inter unlock netork code.

    Inaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T. Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code. Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi hamna kuna ujanja bila mafundi wa software? mkuu Chief-Mkwawa
  3. October 2pm

    Agustino acha kihelehele hapo Mikocheni hayakuhusu baki kwenye line

    Hii sio juu yako. Utaharibu Kila kitu. Hehehee! Wenzako wakutafuta uvumba. Bakia line yako. Najulishwa hapa zoezi litashindika kwa muda huo. Mayi pandisha bendera juu ya paa. Siye twaiona. Walahi unataka kuvuluga mipango. Maandamano ya amani wataki kuleta hasira bule. Mayi hasira weka kushoto...
  4. heartbeats

    PostGE2025 Death line and life line on 29 October ukumbusho wangu ni huu

    Kama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo. Nilikuwa mlangoni getini majirani walikuwa nje wameketi wala hawakuwa na nia ovu , nageuza shingo naona umbali wa mita 60...
  5. N

    Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

    Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
  6. O

    Shida ya network kati ya line ya halotel na vodacom

    wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
  7. M

    Je? Kuna uwezekano wa kupata line ya pocket wifi router?

    Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
  8. A

    Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  9. A

    Barabara ya Dar-Tanga 'kimewaka', Ratco aambiwa 'saizi' yake ni abood siyo shabiby line

    Kwenye mitandao ya kijamii leo, kumekuwa na habari kuhusu Kampuni ya Mabasi ya Ratco kuingiza barabarani mabasi mapya mawili na kuelezwa sasa mabasi hayo yatakuwa yanapishana nusu saa kuanza safari. Mchangiaji mmoja alikwenda mbele zaidi akiandika; RATCO AMETOA GARI MBILI LEO KWA KILA NUSU SAA...
  10. A

    Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

    Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi. Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule...
  11. A

    Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

    Hatimaye, mabasi ya kisasa ya Shabiby Line yameanza safari zake za kutoka Dar kwenda Tanga na kutoka Tanga kwenda Dar kila siku iitwayo leo. Safari hizo zimeanza Wiki iliyopita na tayari abiria wa Tanga-Dar na Dar -Tanga wameanza kuchangamkia usafiri huo kutokana na ubora wa mabasi hayo toleo...
  12. Kinyungu

    Usitume kwenye Voda kuna Songesha!Wakuu hivi kuna Mtanzania mwenye line ya simu ambaye hadaiwi?

    Nataka kumtumia jamaa yangu hela anakuwa mkali anasema "usitume usitume huko kwenyo line nadaiwa"😂😂😂 Karibu kila Mtanzania mwenye line ya simu ana deni kwenye line hiyo. Hii kauli ya "usitume, nadaiwa!" imekuwa kama nembo ya taifa. Kila mtu ana “Songesha” kwenye Voda, Tigo, Airtel n.k...
  13. P

    Samsung A14 storage 128 double line

    Samsung A14 Storage 128Gb Clean Double line Bei 280,000/= Ubungo daraja 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  14. Technophilic Pool

    Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

    Watalaam Simu nayotumia ni iphon 11 Mnisaidie
  15. A

    UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  16. A

    Shabiby line "mguu sawa" safari za Dar-Tanga, haijawahi tokea

    Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar. Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar...
  17. W

    Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  18. Red shadow

    Natafuta Line za mabando

    Mabando ya mitandao ya Voda Tigo Airtel Halotel Kama una hizi line weka bei nikucheki
  19. Hujaza Kibaba

    Line za M2M kwa 12K

    .
  20. G

    Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
Back
Top Bottom