linauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa linauzwa tabora mjini

    Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa Bei haipungui Duka Lina kabati 2 nyuma Kila moja futi 8 kimo 4 upana Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3 Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa kwa kilimo linauzwa Njombe Vijijini

    Habari, Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo. 1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini 2) Ukubwa? Ekari 100+ 3) Umbali toka barabara kuu: 5km 4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo 5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
  3. Nsinambi the Don

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Dodoma

    Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3
  4. W

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale ENEO LINAUZWA KISEMVULE KWA BEI YA OFA

    Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200, Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls and sms...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Kisemvule

    Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200. Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet. Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana. 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls...
  6. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa heka 24.

    Kwema wakuu kuna shamba linauzwa, lipo moshi karibu na nyumba ya Mungu, linafaa kulima vitu mbali mbali. Lina ukubwa wa hekari 24, bei ni 80m. Karibu Dm
  7. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni. Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika zisizo zidi 15 kwa gari/pikipiki. Kiwanja kipo mjini haswaa. Kiwanja kina size ya mita 10 X 10 yaani...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa heka 60 lipo msata

    Shamba Lina ukubwa wa heka 60 lipo msata umbali kilometers 3 kutoka balabala ya lami msata bagamoyo Lina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,000 wa Kila heka Kwa mawasiliano 0659891515
  9. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Eneo kwawajili ya project kubwa au kwaajili ya biashara linauzwa Madale Mivumoni

    Habari za wakati huu... Eneo linauzwa madale mivumoni... Lipo karibu na shule ya atlas Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne... Eneo lipo tambalale kabisa...🔥 Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy.. Pia kwa wale...
  10. Anna Deo

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule linauzwa Dodoma Eneo la Mtumba Mji wa serikali

    Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali. Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000 Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm Ni surveyed pot Fixed Price Interested njoo PM Au +254746360628 only whatsapp Ramani ipo kwenye attachment
  11. E

    JamiiForums Tanzania SHAMBA LINAUZWA KIBAHA MADAFU

    Shamba Heka Mbili Na Nusu Limeshuka Bei Kutoka Million 10 Mpaka Milioni 8 tu Lipo Kibaha Madafu Mmiliki anachangamoto ya mgonjwa Mwenye Uhitaji Wa Shamba Aje Chap Tuongee Biashara, Shamba Liko Umbali Wa Kilomita 6 Kutoka Morogoro Road, 0675 065906
  12. No SQL

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

    Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili BEi: 15 million Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k Hyo barabara hapo inaelekea Kimbiji ambayo imeanza kupigwa lami. karibu PM tuzungumze.
  13. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  14. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  15. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba Heka 22 linauzwa Mikese-Morogoro

    Shamba lenye ukubwa wa heka 22 linauzwa, Shamba lipo Mikese Mkoa wa Morogoro, KM 4 kutoka Mizani ya Mikese Morogoro au barabara kuu ya Morogoro-Dar -Hekari 4 zimepandwa miti aina ya mitiki yenye miaka 7 na kuna nyumba moja kwa ajili ya wafanyakazi -Shamba limepakana na barabara kuu inayokwenda...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo ukubwa wa nusu eka linauzwa Mkuranga, Pwani

    Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami. Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache. Eneo lina miti mbalimbali kama: 1. Minazi (20)na michikichi-imepandwa pembezoni kama fensi 2. Miembe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania ENEO LINAUZWA

    Eneo lipo Mwasonga Kigamboni lina ukubwa wa heka 14 ila zinazouzwa ni heka 6 tu bei ni 6M kwa heka moja. Mawasiliano 0784427363.
  18. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kabati zuri la nguo linauzwa

    Hi guys🙋, i hope mko poa wote. Mwenye kuhitaji kabati kubwa la nguo chukua hili, ni zuri sana. Location: Kigamboni Kisiwani, price: 300k Contact : 0697224996
  19. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kabati la Milango mitatu Mninga (Mbao ngumu) linauzwa

    SOLD...
  20. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la kuchomea nyama linauzwa

    Habari gani wakuu. Ninauza jiko la kuchomea nyama ni mpya kabisa. Unaweza kuchomea nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku. Linafaa kwa mgahawani, bar au hata barabarani kwasababu linabebeka. Bei yake ni Tsh 140,000 mazungumzo yapo !! Nicheki WhatsApp: 0683535699
Back
Top Bottom