lecture

  1. Sandali Ali

    Ukienda kusoma Asia, Ulaya au Amerika Mwafrika unamegewa lecture kwa kipimo

    Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo. Akafunguka na kuniambia kuwa ukisoma nchi za nje hususani mataifa ya Asia and so lazima uwe makini maana...
  2. Tracer

    NAOMBEN MSAAADA JUU YA VYUO VYA DIPLOMA VYA KUJAZA KATIKA SELFORM KIDATO CHA NNE

    Samahanin wakubwa.... NINA SWALI MOJA HIVI... .. ... ... Wakat wa kujaza selform form 4 unapewa na karatas flan hiv linakua limejazwa vyuo mbal mbal vinavyotoa diploma .. .. Sasa nauliza je, Unaruhusiwa kujaza vyuo vingine tofaut na vile vilivyopo qwenye lile karatas?? .. .. Mfano nikajaza...
Top Bottom