Kutokana na vitendo vya kuvamia, kuteka na kuumiza watu hasa wakosoaji wa serikali kushamiri, kwa sasa wakati umefika ili kila Kiongozi mpigania uhuru wa kweli wa Nchi kulindwa na kujilinda kwa mbinu na njia zote. Ni muhimu kuwa na kikosi cha siri cha kuwalinda wapambanaji hasa walio katika...