lazarus chakwera

Lazarus McCarthy Chakwera (born 5 April 1955) is a Malawian politician and theologian who has served as President of Malawi since June 2020. He has served as the leader of the Malawi Congress Party since 2013. He was President of the Malawi Assemblies of God from 1989 to 2013.
Previously, Chakwera was the Leader of the Opposition in the National Assembly following highly controversial elections held on 21 May 2019 which were overturned by the Constitutional Court. He was appointed chairman of SADC on 17 August at the SADC 41st Annual Summit held on 9 August to 19 August 2021 in Lilongwe, Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Nipo tayari kwa mazungumzo nikiwa huru na CHADEMA ikifutiwa kesi zote

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasilisha orodha ya mambo saba muhimu anayoyachukulia kama msingi wa mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria nchini Tanzania. Soma maamuzi ya Kesi: Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chakwera akutana na Othman Masoud pamoja na Babu Duni, Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji, leo Jumatatu Aprili 13, 2026 wamekutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera Mjini Unguja, Zanzibar. Katika kikao...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lazarus Chakwera akutana na tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29,2025

    Muwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambaye pia ni Rais mstaafu wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera leo Jumamosi, Aprili 11, 2025 , amekutana na kufanya mazungumzo na Tume ya uchunguzi wa Matukio ya vurugu za uchaguzi na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ujumbe huo wa Jumuiya ya...
  4. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera awasili nchini kwa ziara ya kikazi kama Mjumbe wa Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Novemba mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Novemba mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola...
  7. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola amemteua Dkt. Lazarus Chakwera kuwa Mjumbe Maalum Tanzania kusuluhisha masuala ya uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Botchwey, amemteua Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera, Rais wa zamani wa Malawi, kuwa Mjumbe Maalum wake katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Chakwera anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maswali aliyoulizwa Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais wa Zambia Haichi Hichelema

    Popular musician Patience Namadingo invoked biblical scripture on Thursday, challenging President Lazarus Chakwera to "show and not explain" his accomplishments during a presidential youth dialogue at Sanjika Palace, writes Winston Mwale. "In the Bible, in the book of Luke chapter seven, verse...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi ataka Afrika kufutiwa deni

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameitaka jumuiya ya kimataifa kufikiria kufanya marekebisho na pengine kufuta madeni ya nchi za Afrika. Akihutubia kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, rais wa Malawi Lazarus Chakwera alisema nchi za Afrika zinapitia "magumu" katika kutimiza wajibu...
  11. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Malawi kuwania tena Urais 2025, ana miaka 84

    Chama Kikuu cha upinzani, Democratic Progress kimemudhinisha Rais wa zamani, Peter Mutharika kuwa Mgombea wake katika Uchaguzi wa Septemba 2025 ====== Malawi's main opposition party, the Democratic Progress Party endorsed on Sunday former President Peter Mutharika to be its candidate in next...
Back
Top Bottom