Unatafuta kazi Dar es Salaam? Kuna nafasi mpya za ajira kwa Personal Secretary na Lawyer zimetangazwa, zikiwa jumla ya nafasi 31.
📌 1. PERSONAL SECRETARY – NAFASI 27
Majukumu yanahusisha:
Kuandika na kuandaa nyaraka mbalimbali za chama.
Kutunza na kusimamia kumbukumbu za ofisi.
Kupokea na...