Kauli ya Mkuu wa nchi ya kwamba kazi ya Uraisi ni ngumu inaturudisha enzi za mwendazake maana na yeye alikuwa akitamka mara kwa mara kauli hii.
RAIS Samia ameweka wazi ya kuwa pamoja na ugumu anaokutana nao, yeye kama yeye anashukuru ya kuwa anapata msaada kutoka kwa idara na taasisi mbalimbali...