kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji Usafiri wa IT kwenda Dodoma

    Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30 Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00 Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kwenda mahala kuogelea kwenye swimming lakini nikiwaza vikojozi hamu inakata kabisa

    NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini! Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada Mwanza kwenda Nairobi

    Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi. Maswali yangu ni Lipi basi zuri? Nauli kiasi gani? Safari ni masaa mangapi? Vipi kuhusu chanjo mpakani? Nk. Natanguliza shukrani
  5. JamiiForums Tanzania Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

    Eti wakuu, kwa Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano na kurudi na kitoweo. Au akafanya kama burudani lakini ssmaki anapata? Najua kuna bahari, lakini kuweza kuvua kwa ndoano na kupata mboga ni kitu kingine.
  6. JamiiForums Tanzania Tulioshindwa kwenda Moshi sababu ya nauli tukutane hapa

    Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa Uzi tayari
  7. JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

    Salaam Wakuu, Askari Meshack Samson aliyekataa Rushwa ya Mil 10, ameshushwa cho baada ya kukataa kwenda Kozi baada ya kupandishwa cheo.
  8. JamiiForums Tanzania Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

    Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura. Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli. Siku moja...
  9. JamiiForums Tanzania Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  10. JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  11. JamiiForums Tanzania Krismas na Mwaka mpya vinawadia: Misururi ya migari ya kifahari kwenda Kaskazini (Uchagani ) Toka Dar balaa.

    Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka? Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
  12. JamiiForums Tanzania Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

    Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako - Mahusiano ya kidiplomasia

    UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa transit goods kwenda Zambia

    Habari Wakuu. Kuna mzigo uko bandari ya Dar nahitaji usafiri wa kupeleka Lusaka, Zambia. Ni kiasi cha Tani 900. Nahitaji malori yenye uwezo wa kubeba Tani 30. Bajeti ni Sh 150,000 kwa Tani. Naomba msaada kwa mwenye connection.
  17. JamiiForums Tanzania Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe

    Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada mwepesi na waharaka wa kubadili TIN namba isiyokuwa ya kibiashara kwenda ya kibiashara

    Naona Staff wa TRA wa uku nilipo siwaelewi kabisa,wanafanya mambo yawe magumu... Mwaka 2017 nikiwa Dar es salaam nilipata TIN namba lakini ilikuwa si kwa ajiri ya biashara (non business use),niliipata nkiwa ktk harakati za mafunzo ya udereva. Kwa sasa nipo mkoa wa nyanda za juu uku ktk...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana waliokuwa wanatorosha mabinti miaka ya zamani wana afadhali kuliko wa sasa

    Nakumbuka zamani nikiwa mdogo miaka ya 90 mwishoni na 2000s miaka ya mwanzoni nlikuwa naskia sana binti wa fulani katoroshwa na kijana flani, House girl wa nyumba flani katoroshwa, dada yake flani katoroshwa, n.k. hapo ni kwamba wanaenda kuanza maisha kama mme na mke, hadi mje kuwaona tena basi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehamisha fedha kutoka Benki kwenda M-Pesa yenye makosa, nifanye nini?

    Ndugu wanabodi, Nimehamisha kimakosa fedha kutoka account ya benki kwenda M Pesa ya mtu lakini nikawa nimekosea. Nimepiga customer service ya benk kwa sasa wamefunga na nikipiga voda 100 imeishia kunipeleka Wassap.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…