kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo. Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mpwapwa hii ndiyo bajeti yako ya kwanza

    Bajeti yako ya kwanza katika utawala wako wa ubunge bado haionyeshi dira, unapapasapasa tu mambo hugongi penyewe hii ni kwa sababu hatujakusaidia kuchagua vipa umbele, hatujakusaidia kutambua matatizo. Umeonyesha kujipendekeza kwa mawaziri, hauko sahihi jipendekeze kwa makatibu wakuu ndiwo wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

  5. JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

  6. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Baada ya siku 100, mama hataki kubalisha Tairi (katiba mpya) anasubiri tufike kwanza

  7. JamiiForums Tanzania Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…