kwani

Kwani? (Sheng for so what?) is a leading African literary magazine based in Kenya that has been called "undoubtedly the most influential journal to have emerged from sub-Saharan Africa", although that tribute might more accurately go to Transition Magazine, which was founded in Kampala, Uganda, in 1961. The magazine grew out of a series of conversations that took place among a group of Nairobi-based writers in the early 2000s. Its founding editor, Binyavanga Wainaina, spearheaded the project shortly after winning the 2002 Caine Prize for African Writing. The first print issue of the magazine was published in 2003. Kwani? has been called "the most renowned literary journal in sub-Saharan Africa". It is produced by the Kwani Trust, which is "dedicated to nurturing and developing Kenya’s and Africa’s intellectual, creative and imagination resources through strategic literary interventions".Kwani?, which receives significant funding from the Ford Foundation, has become a major platform for writing from across the African continent. It has served as a launching pad for the careers of several writers, including Yvonne Adhiambo Owuor, winner of the 2003 Caine Prize; Uwem Akpan, author of the bestselling short-story collection Say You're One of Them, and Billy Kahora, now the magazine's managing editor. Each edition of the journal contains up to 500 or more pages of new journalism, fiction, experimental writing, poetry, cartoons, photographs, ideas, literary travel writing and creative non-fiction. The seventh edition of Kwani? "is subtitled 'Majuu' – a sheng (street slang) reference to 'overseas' – and is a 570-page testament to the journal's diasporic roots."

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Kuitisha Vyombo Vya Habari Kwaajili ya Kusema Tu Kuwa Unahama Chama, Ni Ujinga. Kwani Ulipokuwa Unajiunga Ulimtangazia Nani?

    Kuna ujinga unaea kwa kasi, eti mtu anaitisha vyombo vya habari kuwaambia wananchi kuwa anahama chama! Hivi wewe kuhama chama, kuna nini cha ajabu? Ulipokuwa unajiunga na hicho chama, uliitisha vyombo vya habari? Jamii yetu imejaa watu wajinga. Fikiria mtu ambaye hata jina lake likitajwa...
  2. M

    Kuna watu hupaswi kujibizana nao kwani wewe ndio utaonekana mjinga Na kupoteza heshima

    Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana. Kuna watu furaha yao ni wewe kuvurugwa ili mfokeane hivyo kwa namna mbalimbali watakuchokoza ili mjbizabe na hiyo ndio furaha yao...
  3. T

    Ni kwanini aliyetweet kumtishia F Kitima police hawakumkamata hadi waziri atoe agizo? Kwani hawakuiona ile tweet?

    Moja ya vitu vinanishangaza sana ni namna mambo fulani hufanywa na vyombo vyetu hasa vya usalama. Mimi ninaamini kuwa police wana wataalamu wa intelejensia wa hali ya juu sana. Na sina hakika kwamba huyu waziri wa mambo ya ndani ni mbobevu kwenye mambo ya kiusalama kuliko wataalamu...
  4. Nimemkumbuka Ex wangu, huenda angekua mwema kwani.

    Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana. Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli kweli, mpaka mwisho wa siku akaamua kukubali matokeo. Sasa baada ya chuo, niko na kazi na nikatafuta...
  5. Kwani Mungu ni kitabu?

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kila kitu nikiuliza kwa Masheikh na mapadri na wachungaji na hata katika forum mbalimbali mnanifungulia KITABU, Ina maana Mungu alikosa njia zote za kujieleza katika dunia na watu wake bila ya KITABU tu? Ndugu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma...
  6. Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  7. Kwani dunia haiwezi kuitenga Marekani?

    Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
  8. VIDEO: HALIMA Mdee amekiri CHADEMA wako sahihi kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Sheria na Katiba

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee halimamdee amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA ChademaTz na ACTwazalendo kuhusu kudai reforms kuwa ni sahihi na zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu...
  9. Haji Manara nakuonya Kaa Kimya na usishindane na Mwanamke, kwani Bibie sasa anataka kupiga Bomu lako la mwisho ambalo litakumaliza na kukuumiza mno tu

    Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua hilo tatizo lako na nakumbuka hata baadhi wa Watu wa Simba SC walitaka Kukupiga nalo likumalize...
  10. Nawaonyeni mapema kuwa leo shindeni kwani mkitoka tu Sare au Mkifungwa jueni mapema kuwa Simba SC anaenda kuwa Bingwa 2024/2025

    Msije kusema sikuwaonyeni mapema kwani kwa Moto wa sasa Watu hawatolala tena na sasa ni mbele kwa mbele tu Ok?
  11. Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  12. H

    Viongozi wa kisiasa na kidini wa Afrika ndiyo chanzo cha umasikini,vita,urasimu,wizi,ufisadi,nk tangu kuondoka kwa wakoloni.

    Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu AFRIKA. Kwasasa MAPINDUZI ya kijeshi ndiyo mzizi wa kila kitu ndani ya Afrika kwa WANAJESHI...
  13. Nimebahatika kupata bikra, nimepost moderator wamefuta kwani inawauma??

    Kwani Ina wauma???
  14. W

    Ili kuweka "territory" kwenye mahusiano yako huwa unaacha vitu gani kwani mpenzi wako?

    Mimi kwanza sio mtu hata wa hayo mambo. Ila mara ya mwisho nilisahau mkufu wangu kwake na nikamwambia akaniambia ameuhifadhi. Nimerudi nikamuuliza kaniambia hauonekani itakuwa dada wa usafi kautupa. Sasa najiuliza huyo dada wa usafi kwanini anatupa vitu vya watu bila kuuliza jamani.
  15. Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  16. Uongozi wa Simba SC tafadhalini leteni Mechi zenu Uwanja wa Namboole hapa Uganda kwani mnakubalika na msipeleke Amahoro Rwanda kwa Yanga SC wengi

    Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
  17. PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  18. Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  19. Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  20. Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

    Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane .. Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia .. Kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…