kuzima mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Wakili Robert Majige: Kuna faida nyingi za kuzima mtandao ikiwemo "kuharibu" uchumi wako mwenyewe

    Wakuu, Mwamba amejibu hili swali kijanja sana kama huna subra ya kumsikiliza hadi mwisho unaweza kumaindi kumbe katoa points za hela yote Mwamba anaitwa Robert Majige kutoka Media Convergency na hapa alikuwa anazungumza kwenye kipindi cha Kasri la Kikeke cha Crown FM
  2. R

    Jaji Chande aliyekushauri kuzima mtandao wa so called tume yako amekupoteza. UNAFICHA NINI? UNAFICHA UKWELI AU UONGO?

    Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha! Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi? Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
  3. McLaren

    Kampuni za mitandao ya simu na Tume ya Mawasiliano Uganda (UCC) zashtakiwa mahakamani kwa kuzima mtandao

    Mawakili wawili wamefungua kesi Mahakama Kuu ya Uganda kupinga kuzimwa kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu, wakidai hatua hiyo ilikiuka Katiba na kufanyika bila msingi wa kisheria. Wameishtaki Tume ya Mawasiliano Uganda (UCC) pamoja na kampuni za MTN, Airtel na Lyca Mobile, wakisema kuzimwa...
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Je, wajua? TCRA kuzima mtandao ni ukiukwaji wa katiba kutoka ibara ya 18: haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa bila mipaka

    JE WAJUA?Kuzimwa kwa mtandao ni kizuizi cha haki za msingi za wananchi na uhuru wa kupata taarifa.Vifungu vya Kitaifa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ✅Ibara ya 18 – haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa. ✅Ibara ya 20 – haki ya kushiriki katika shughuli za umma. ✅Sheria ya...
  5. M

    Wataalam wa Uchumi, tuelimisheni, Serikal kuzima mtandao, kumetia hasara nchi kwa kiasi gani?

    Je, hakuna madai yoyote ya makampuni kuja kudai fidia nchi yetu kwa madai haya ya kuzima mtandao nchi nzima? Vipi kuhusu usafirishaji wa njia ya bahari na maziwa, sector hizi hazijaathirika na hili Je, DPW, hawajaathirika na hili? Kama wameathirika, sheria zinasemaje serikali inapoamua tu...
  6. technically

    Airtel wanajaribu kuzima mtandao

    Leo Ni wiki Airtel mtandao haupatikani vzr kwenye internet Semeni Kama mnatuhujumu tuvunje line zenu
  7. Crocodiletooth

    Si sawa kuzima mtandao kisa mtu mmoja, anayetaka kuongea yake!

    CCM is a powerful and strongly party!,who can bend it's majority decision? Wajumbe wote kwa nguvu moja tulimteua Dr.samia awe rais wetu,pia amalizie nge yake ya pili katika awamu yake ya sita(6). Sioni lolote linaloweza kufanyika kubatilisha uamuzi uliokwisha fikiwa na vikao vyote halali vya...
  8. DR HAYA LAND

    GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

    Wakuu hii haijakaa sawa kabisa. Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao . We are not serious.
  9. Meneja Wa Makampuni

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
  10. Mstahiki Mea

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  11. S

    PreGE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

    Wakuu Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa. Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza figisu za kutuminya kipindi cha Uchaguzi. Sijui alikuwa na wasiwasi wa nini? Uchaguzi mkuu ulivyofika...
  12. OLS

    Mwaka 2023, matukio 80 ya kuzuia internet yamerekodiwa katika nchi 21 duniani

    Katika muongo uliopita, serikali barani la Afrika zimeendelea kushika madaraka kwa nguvu kwa kudhibiti haki za binadamu mtandaoni na nje ya mtandao. Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora, watu katika nchi kadhaa wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii ambayo yamekuwa...
  13. Lanlady

    Wakati tunamshukuru alivujisha mkataba, tujiandae pale watakapozima mtandao!

    Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo. Wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kudhihirisha hisia hizo. Sasa hofu yangu kwa sasa ni juu ya...
Back
Top Bottom