.......Nikifanikiwa kuzeeka
Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra. Nitawaeleza waishi vizuri na watu, Ili wasije kupata tabu.
Nitawasisitizia kuwekeza japo kidogo, kwa kuwa hawajui...