1.Ghana
2.Mali
3.Burkinafaso
4.South Africa
5.Sudan
6.Guinea
7.Cote D'Ivoire
8.Tanzania
9.Zimbabwe
10.DRC
My Take
Tanzania ndio Nchi imenufaika na Utajiri wake wa dhahabu kuliko zingine hapo Juu
Soma zaidi hapa Africa’s top 10 gold-producing nations as prices hit record high - Businessday NG...
Kwa ujinga wanaofanya CCM wanajikuta wanazalisha kundi kubwa linaloipinga CCM pamoja na Serikali yake au kwa akili ndogo za Viongozi waliopo.
Magufuri hakutumia nguvu kubwa kuirudisha CCM iliyokuwa kwenye shimo huku akipendwa na kila mtu mpaka wapinzani ingawa alikuwa dikteta uchwara.
Baada...
Mbu aina ya Anopheles
Bagamoyo. Katika utafiti wa kihistoria uliyochapishwa katika jarida la Nature, wanasayansi wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa ushirikiano na Imperial College London kupitia mpango wa Transmission Zero, wamefanikiwa...
Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi
Angola wakihitaji diesel, petrol...
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi wa Kata za Mupi, Bwawani, Mgomba, Umwe, na Ikwiriri zilizopo Ikwiriri katika Jimbo hilo.
REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 4 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI
📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98
📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati
📌Mradi kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki na mazingira
📍Njombe
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha...
Habari za Sabato watu wa Mungu,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana,
Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia.
Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha.
Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter na rockets
Fahamu battery ya ndege inatakiwa baada ya km 2000 ndo liishe na lijazwe kwa dakika 5...
Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu....
The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million 50+ kwa mwaka na baadae tani million 200+
Nikiwa Rais kutaanzishwa kilimo kikubwa sana cha alizeti mkoa wa singida na mchikiçhi mkoa wa kigoma
Kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa sana ya kilimo cha alizeti na mchikichi mkoa wa singida, singida, kigoma, tabora n.k
Lengo ni kuzalisha zaidi ya tani million 20 za alizeti na tani million...
Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita chake mapema mwezi Julai mwaka 2025 baada ya kuvunjwa bunge, ina maana hapo kuna mamilionea 400+...
YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu baada ya mitambo yote tisa kuanza kuzalisha umeme wenye uwezo wa megawati 2,115.
Mradi huu utaleta...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kajipikia chakula chake mwenyewe.
Amesema Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi sStadi (Veta) ina uwezo na jukumu la kubadilisha Tanzania...
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo
Uwepo wa gesi asilia
Uwepo wa makaa ya mate
Uwepo wa upepo singida na same
Uwepo wa jua (solar power)
Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.