Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025
Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwa sasa, alitoa tangazo hilo kupitia machapisho kwenye mtandao wa X...