kuwa

Wyoming Public Radio (WPR) is the statewide public radio network in Wyoming, and is licensed to the University of Wyoming, with headquarters inside the basement of Knight Hall on the UW campus on East University Avenue (at the corner of South 12th Street and Ivinson Avenue) in Laramie.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

    Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi? Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
  2. R

    JamiiForums Unaona kabisa kuwa hukumu ya Lisu ni ya watawala, kwanini haijawekwa kwenye TANZLII. Ushahidi tosha kuwa iliandikwa na watawala kama Mange alivyosema

    Hukumu zote zinawekwa siku hio hiyo inapokuwa pronounced! Mpaka sasa haijawekwa. Mnaogopa nini kuiweka public? Nani anazuia isiwekwe public?
  3. B

    JamiiForums Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  4. O

    JamiiForums Kenya Kanyari Ageuza Kanisa Kuwa Club: Mdundo wa Dancehall Washtua Wengi Madhabahuni!

    Wanajukwaa, mambo yanazidi kuwa mengi na mitandao inajaa vituko. Katika video inayozunguka mitandaoni kutoka katika kanisa linalohusishwa na Mchungaji Victor Kanyari (Salvation Healing Ministry), limeonekana tukio la aina yake ambapo badala ya sifa na kuabudu za kawaida, kanisa limgeuzwa kuwa...
  5. JamiiForums Je, unafahamu kuwa shuleni na chuoni ulikopatia elimu kuna mafaili yako?

    Wakuu ni wakumbushe tu jambo moja la muhimu kwenye shule zote ulizosoma hata chuo ulichopatia shahada kuna mafaili yako. Kama uliwahi kukutwa na kesi ukaambiwa uandike statment, kama ulisimamishwa masomo kwa utovu wa nidhamu kama vile fujo, wizi, mapenzi au kufanya tukio lolote taarifa zako...
  6. JamiiForums MCHEPUKO WA MKURUGENZI MTENDAJI WA NVIDIA UNAGEUKA KUWA MGOGORO WA KAMPUNI

    Na, Dr. Zack, Santa Clara, California, Mkurugenzi Mtendaji wa NVIDIA Jensen Huang amekiri kutokuwa mwaminifu kwa mke wake baada ya ripoti kuvuja kuhusu uhusiano wake na Alice, kiongozi mkuu katika kampuni ya kutengeneza chip ya Megaspeed yenye makazi yake nchini Singapore. Kashfa hii imechukua...
  7. JamiiForums Kifungo cha Tundu Lissu kinatufundisha kwamba kuwa mwanasiasa si kinga dhidi ya sheria.

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Kuna watu wanaamini...
  8. R

    JamiiForums Waheshimiwa majaji Ndunguru, Karayemahana Kiwonde, hakuna mteja atawaamini kuwa mtatenda haki hata kama kesi haina maslahi na serikali. NAJISI

    Hata kama kesi itakuwa haina uhusiano na serikali, kwa hiki mlichokifanya, hakuna client wenu mwenye akili timamu atakuwa na imani kama mtaenda haki. Hata ksi ya wizi wa kuku ikiletwa kwenu, kesi ndogo hakuna ambaye atakuw ana imani nanyi. Ushauri: Huyo mliyemtumikia mwambieni awape kazi...
  9. JamiiForums Eisenkot Anakwenda Kuwa Waziri Mkuu Wa Israel.

    Israel imepoteza ushawishi mkubwa duniani kote, kiasi kwamba hata Wayahudi wa Marekani wanapinga serikali hiyo ya Kizayuni. Hatua za wanasiasa wa Israel za kufanya mauaji ya kikatili pale Gaza, imepelekea Wayahudi wengi kuchukiwa na kutukanwa na hata kupigwa huko Ulaya na Marekani, kwani sasa...
  10. R

    JamiiForums Majaji wa Malawi watapandishwa kuwa majaji wa Rufaa

    Watakuwa wana handle ksi kutoka high court ambazo zilikuwa na maslahi ya wateuzi wao kwa watakao appeal.
  11. JamiiForums Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  12. F

    JamiiForums Intuition yangu inaniambia kuwa Polepole yu hai Bado. Tumwombee

    Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili. Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia. Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
  13. K

    JamiiForums Mwanamke aliye ndani ya ndoa kipato kikiongezeka anataka kuwa huru, Mwanaume akipata Pesa anawaza kujenga na kuimalisha famila /ndoa. Nini sababu?

    Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa. Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa. Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
  14. JamiiForums Hivi unawezaje kuvumilia kuwa kwenye ndoa bila unyumba/ tendo la ndoa (sexless marriage)?

    Ndoa bila UNYUNBA (Sexless marriage) ni ndoa ambayo wanandoa hushiriki tendo la ndoa mara chache sana kiasi kinachokadiriwa kuwa ni chini ya mara 10 kwa mwaka au mara (1) moja kwa mwezi. Sababu za Kawaida • Msongo wa Mawazo wa Kudumu na Kibiolojia. • Shinikizo la Maisha na Malezi • Mvutano wa...
  15. JamiiForums WAZO LA PAUL MAKONDA KUIFANYA ARUSHA KUWA DUBAI LINAWEZEKANA?, NDIO KAMA TUTAIUNGANISHA NA NAIROBI,

    TUanze na miundo mbinu, si rafiki sana, mfano soko la kilombero njia muhimu kwenda kwenye vivutio panatoa harufu sana na ni kero ya miaka mingi. Soko kuu arusha bondeni tangu enzi za mrisho gambo liliwekwa tangazo la ujenzi wa soko la kisasa lakini kimya. Changamoto za kibiashara kati ya arusha...
  16. F

    JamiiForums Lini Tanzania itaacha kuwa shamba la bibi, kichwa cha mwendawazimu, na sehemu ya majaribio?

    Ukisoma historia ya Tanzania vizuri, ukiondoa kipindi cha Mwalimu Nyerere na kidogo cha Magufuli, Tanzania imekuwa kama sehemu ya machizi kujifunzia kunyoa. Kila ajae, huja bila sera ya kuendeshea nchi. Nyerere alikuwa na ujamaa. Mwinyi alikuja na jaribio la uhujumaa. Mkapa alikuja na ubabe...
  17. JamiiForums Afrika: Tunaongoza Kwa Kusali Na Kuwa Nyumba Za Ibada Nyingi Lakini Tunaongoza Kwa Umasikini

    Hii imekaaje? Hivi kuna watu wanaongoza kwa kuomba na kusali kama watu kutoka Afrika kweli? Nyumba za ibada kila baada ya mita kadhaa, nadhani bara hili hata kwenye wingi wa nyumba za ibada tunaongoza duniani, huko mitaani makanisa na misikiti vimesongamana mno, nimeona nyumba za ibada...
  18. R

    JamiiForums Katuga: Mahakama siyo mama yako, haiwezi kukupa ambacho hukuomba

    Katuga alimwaminia Lissu mahakamani kuwa "mahakama siyo mama yako, haiwezi kukupa ambacho haukuomba" Jana màhakama hiyo hiyo imekuwa "mama yake Katuga", imempa Katuga ambacho hakuomba! 🤭
  19. Z

    JamiiForums Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  20. JamiiForums Nadhani watu wanashindwa kuelewa kutofautisha nchi ya Tanzania na serikali

    Just because nchi yetu inaongozwa na wahuni hatuna sababu ya kuichukia. Tanzania ni kubwa kuliko serikali, serikali ni ya mpito lakini Tanzania itaendelea kuwepo. Na usisahau this is the land that gave birth to you, you have to honor it Msichanganye hivi vitu. Usiichukie nchi yako kwa sababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…