kuua

Akuliarusiarsuup Kuua (Danish: Sandflugtdalen) is a river and valley of the same name in the Qeqqata municipality in central-western Greenland. Its source is the meltwater outflow from Russell Glacier, an outflow of the Greenland ice sheet. The river is a tributary of Qinnguata Kuussua, the main river in the Kangerlussuaq area. For most of its run, the river flows very slowly through the sandur basin of the valley, forming meanders amongst large fields of glacial silt quicksand. The climate is polar continental, with the area receiving very little rainfall.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania

    Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Katu huwezi ilinda amani kwa kuua sauti ya haki

    "Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu. Magenerali kama Hannibal Barca wa Karthage (Tunisia ya sasa), aliyepambana kulinda taifa lake dhidi...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Sheria

    Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda. Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wagawanye uwatawale inavyotumika kuua Vyama Pinzani

    Hivi karibuni, June kuwepo na juhudi kubwa za chama Fulani kushinda Uchaguzi ujao, katika kutekeleza juhudi hizo chama hicho kongwe, kina tumia pesa na nguvu zingine ilizo nazo , ili kuzivuruga Vyama Pinzani. Lakini nikionacho hizo juhudi ni adha zake zitakazo achwa baada ya chama kongwe...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya kuua mbu wote katika mazingira yako

    Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu: 1. Maji yaliyotuama Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu. 2. Taka zilizochakaa Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Wayahudi wanaongoza kwa Ukaidi na Kuua Manabii wao?

    Mzuka wana jamvi .. Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ; 1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote...
  9. JamiiForums Tanzania Kumpeleka mtoto Boarding shule ya msingi ni Kuua vipaji vyake....

    Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana. Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa. Muoga sana. Ujasiri wote...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na watu wanafiki, wanaohubiri amani lakini ni vinara wa Kuua Amani

    Amani haipotei kwa siku tendo la siku moja bali ni malimbikizo ya mambo mengi kwa muda mrefu. Siku zote, wananchi wa kawaida huwa siyo wasababishi wa kupotea kwa amani. Kila mahali ambapo amani ilipotea, wasababishi wakubwa huwa ni watawala au watawala waliofarakana. Ni vigumu sana mwananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuua mtu lakini huwezi kuua wazo lake!

    Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa? Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la machozi nani kajengewa Mnara? Watu wasio na akili hudhani mateso ama mauaji huondoa wazo la mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Jinsi helcopter ilivyoanguka huko Marekani na kuua watu 6

    Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu. Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa waandishi wa habari, helikopta hiyo ya New York Helicopters ilikuwa imekodishwa na ilikuwa na rubani...
  13. JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi. Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  16. JamiiForums Tanzania Tumia kitunguu swaumu kuua wadudu shambani mwako

    🔥🔥Chukua kitunguu swaumu kimoja kizima ...twanga na changanya na maji lita 1....hivyo kama maji ni lita 10 utatumia vitunguu 10...kisha wacha itulizane kwa masaa 6...kisha chuja,weka kwenye bomba na piga kama unavyopiga viatilifu vya kiwandani.... . piga kila baada ya wiki mbili & Uzuri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuijenga Gaza wakaa kimya wakati Netanyahu akivunja na kuua zaidi.

    Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana. Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

    Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga. Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Mke ampa kipigo mumewe hadi kumuua

    Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua. Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania NATO ni kundi la mbwamwitu wanaosaidiana kuua wale.

    Bahati nzuri hakuna hakuna nyumbu anaemsadia mbwamwitu na Simba kuua nyumbu wenzake. Lakini bahati mbaya Kuna waafrika wanaoweza kusaidia wazungu kuua waafrika wenzake. Kuna watu wanaoweza kuzunguuka huko huko kuomba wazungu wainyime msaada nchi yake. NATO ni kundi la nchi ambazo zinasaidiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…