kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Serikali yaongeza umri wa Utegemezi kwa Wazazi kutoka miaka 18 hadi 21

    Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21. Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu ya utegemezi kutoka kwa mzazi wake mathalani matibabu. Kazi Iendelee!
  2. J

    PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

    Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
  3. K

    Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  4. B

    Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  5. M

    Kama hii Tetesi niliyoisikia kutoka Magerezani ni kweli, leo Moto utawaka Uwanja wa Nelson Mandela huko Sumbawanga

    Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na Mshahara Kuongezeka. Israeli na Roho ya Mtu leo huko Rukwa.
  6. J

    Maisha yanaenda kasi; Jaffo kutoka kusimamia bajeti ya Tsh 3 trilioni TAMISEMI hadi 28 bilioni Muungano na Mazingira

    Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni. Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
  7. M

    Hivi Halima Mdee, Esta na wenzake walitarajia kuwa siku moja wanaweza kuwa wahanga na mamluki kutoka CHADEMA

    Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki. Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa. Hata hivyo ninakaswali ka...
  8. Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
  9. Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

    Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi. Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa. Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu...
  10. Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  11. J

    Kwanini wabunge wa viti maalum Chadema wanaitwa ni wabunge kutoka Chachandu?

    Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU. Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia. Kazi Iendelee!
  12. Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  13. M

    Je, Taifa ambalo Wananchi wake wanapongeza 'copy and paste Speech' ya Rais wao wa sasa kutoka kwa Rais mwingine linaitwaje?

    Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump. Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi...
  14. Tujikumbushe historia ya TANU kwa picha na maelezo ya nyakati kutoka Maktaba ya Ali Msham

    PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1 Abdulrahman Ali Msham Akiwa Amesimama Lilipokuwa Tawi la TANU Alilofungua Marehemu Baba Yake Ali Msham...
  15. Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

    Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia. Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa anahutubia kiungwana Sana, kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya...
  16. Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo. Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama...
  17. Ushauri: Biashara ya mchele kutoka Kahama Kupeleka Arusha

    Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina. Ni Kwamba katika muda niliokaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…