Wadau Salaam!
Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
Habari wana jamvi
Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara
Najua nyakati ni ngumu na wengi wetu hatuna kazi za kuajiriwa. Kama utapenda kujifunza ujasiriamali bure basi soma hii
Hapa kuna mapishi ya sabuni iliyotengenezwa nyumbani ambayo inaweza kukusaidia kuingiza kipato kizuri
SABUNI YA NDIMU YA NYUMBANI
VIUNGO :
500 ml ya maji
500 g ya sukari
70 ml...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.