Ilikuwa ni asubuhi tulivu wanafunzi wote tumekusanyika parade kwa ajili ya kupata maelekezo na taratibu za shule
shule yetu ilikuwa na utaratibu wa kufanya presentation ya masomo kwenye pared ya wanafunzi.
Mara baada ya taratibu za shule kukamilika , ikawa ni zamu ya darasa letu kufanya...