Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza.
Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake, alikuwa na falsafa ya uongozi tofauti na waliomfuata wakatawala bila falsafa. Ili kuongoza, lazima...