kutamka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  2. JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla Ndugai hajakiri au kutamka hadharani kuwa Katiba ya nchi ni mbovu

    Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu. Kwahiyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
  5. JamiiForums Tanzania Profesa Mukandala kushindwa kutamka neno Wahafidhina nini tatizo?

    Wanangu hamjamboni? Sijui niuite usomi, ujinga, ukoloni wala sijui. Wakati akisoma utangulizi wa Kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Profesa Rwekaza Mukandala alishindwa mara mbili kutamka neno wahafidhina. Ingekuwa kashindwa kutamka neno la kimombo ungesikia stori kibao. Je, hii inamaanisha...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuifundisha Google Assistant kutamka majina kwenye simu yako

    Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa, matokeo ya mechi, mgahawa ulio jirani, nk., vyote kwa njia rahisi tu ya kuzungumza kwenye simu yako...
  7. JamiiForums Tanzania Nguvu za kutamka 'nina mimba yako' unapata wapi?

    Umepewa nauli, umelipwa kama short time unapata nguvu gani kusema nina mimba yako? Halafu nina mimba yako nafanyaje? Unakujaje uko danger? Tembeeni na kinga siyo kujiachia kama mkasi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…