kusitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    WHO yatoa rai kwa mataifa kusitisha utoaji wa chanjo za nyongeza kwa raia wake

    Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao. Nchi tajiri zimeanza mpango wa kutoa chanjo ya 3 ama ya pili maarufu kama booster shots ili kuzipa...
  2. N

    Hongera kwa NEMC kwa kusitisha ujenzi wa nyumba ukingoni mwa mto Ndumbwi

    Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira. Kilio cha...
  3. Covid-19: Singapore kusitisha kutoa takwimu za ugonjwa. Serikali yawataka wananchi kuishi nao kama mafua

    Serikali ya Singapore imetangaza kuwa itaacha kutoa takwimu za visa vya #COVID19 na kwamba muda umefika wa kuishi na ugonjwa huo kama mafua. Aidha, Serikali hiyo imesema itafuatilia wagonjwa waliozidiwa sana, na pia utoaji wa chanjo na ukaguzi/upimaji kwenye mipaka utaendelea. === As...
  4. Baada ya tangazo la Rais Samia kusitisha retantion fee bodi kwangu imekuwa kiama

    NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato. Majibu niliyopewa ni...
  5. Mashambulizi yapelekea Total kusitisha shughuli Msumbiji

    Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu Mji jirani kushambuliwa na Wanamgambo, Kampuni ya Total imesitisha shughuli za kuchunguza eneo kubwa la gesi Kaskazini mwa Msumbiji Kampuni hiyo kubwa ya Nishati imesema itaondoa Wafanyakazi wake wote kwasababu ya mwenendo wa hali ya usalama. Watu kadhaa...
  6. Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  7. Hata Kusimamisha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Rais Magufuli aliokoa Taifa

    Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania. Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
  8. TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka. Badala yake TBC1 watarekodi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…