Mpaka sasa dini ya haki imeshajulikana ni ipi neno HAKI ni neno hatari sana kwa watawala wanyonyaji, wauaji, wanyanganyi, wezi wa kura...nk
Hawataki kusikia msamiati haki ukitamkwa mbele za watu, mbele za watanganyika wapenda haki.
Kwa Tanganyika yetu ya leo ukijaribu kutetea haki wewe ni adui...