kusajili laini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DexterLab

    Nataka kusajili laini ya TTCL

    Kama heading inavyojieleza, nasikia hili shirika huko nyuma mtandao wake ni wa ovyo sana, labda mwaka 2026 wamebadilika, vipi niijaribu?
  2. Mkoba wa Mama

    TCRA ifuatilie wizi wa taarifa za nida unaofanywa na mawakala wa kusajili laini

    Hii imenitokea leo, nilienda kubadili laini ya Vodacom ili nipate laini ya 5G, wakala akaniambia niweke finger print, niliweka mara mbili baada ya kusema mara ya kwanza nilikosea. Baada ya kumaliza zoezi hilo na kuondoka pale, nilipokea ujumbe mfupi kutoka Airtel kuwa nimesajili laini mpya ya...
  3. Tommy 911

    Jinsi ya kuwa wakala mkuu wa kusajili line za simu

    Habarini wana JF nina wazo la kuwa wakala mkuu wa kusajili line na kumiliki vijana kadhaa wakusajili. Je, utaratibu upoje na jinsi ya malipo inakuwaje?
  4. BabuKijiko

    Hivi unatumia vigezo vipi unapotaka kusajili laini ya simu?

    Hivi unatumia vigezo vipi unapotaka kusajili laini ya simu? tushare pamoja hapa kwenye comments
  5. Trainee

    Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
Back
Top Bottom