kusaini mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tumaini la amani DRC baada ya Serikali na M23 Kusaini Mkataba wa awali Usitishaji Mapigano

    Baada ya miaka mingi ya machafuko na maelfu ya raia kutawanywa makwao, tumaini jipya limeanza kuchomoza mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo imefikia makubaliano ya awali na waasi wa M23 – kundi ambalo mara kwa mara limekuwa likituhumiwa kupata msaada kutoka...
  2. R

    DRC Congo na Rwanda Kusaini Mkataba wa amani leo

    Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa Kongo ambapo mzozo huo umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kusababisha mateso makubwa kwa raia wa kawaida katika maeneo...
  3. GoldDhahabu

    Nawezaje kusaini mkataba wa mauziano ya kiwanja nikiwa mbali?

    Kiwanja kipo mbali na mkoa ninaoishi kwa sasa. Nina mtu atakayenisaidia kupokea hela kwa ajili ya malipo, au ninaweza nikaweka kwenye akaunti ya muuzaji kama ataona sawa. Changamoto yangu ni kuwa ninataka jina langu na sahihi yangu kama mnunuzi ionekane kwenye mkataba huo. Siyo kwamba siwaamini...
  4. K

    Ukienda Marekani kusaini mkataba na viongozi wao inakubidi uwe makini sana

    Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
Back
Top Bottom