kusaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmiliki wa Kusaga TV ashikiliwa na Polisi chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na Polisi

    Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
  2. D

    Biashara ya kusaga mahindi na kuuza unga

    Habari wadau. Nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani Ruvuma kisha niwe nasafirisha na kuuza maeneo ya Tunduru, Masasi hadi Mtwara. Naomba mwenye uzoefu anipatie. Ruvuma nimeishi ila Tunduru kuelekea Mtwara si mwenyeji
  3. M

    GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  4. Poleni wanaCCM mnaolia na kusaga meno

    Naona kila kona Tanzania mnalalamika kukatwa watu wenu mliowapogia kura na kuwataka wawe wawakikishi wenu Huu ni utaratibu mbovu na usiofaa maana ....
  5. Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  6. Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  7. MASHINE YA UMEME YA KUSAGA KARANGA

    Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga karanga laini sana. Piga 0744200166
  8. Fursa fursa fursa ni mashine ya kupukuchua na kusaga karanga

    Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga karanga laini sana. Piga 0744200166
  9. N

    MASHINE PORTABLE YA KUSAGA NA KUKOBOA INAUZWA

    Wajasiliamali wadogo wa unga wa sembe/lishe/dona n.k.. Mashine portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa 2 in 1, inatumia umeme wa nyumbani (5hp), huhitaji kuongeza connection. Uwezo kusaga kilo 200 kwa saa. Bei million 2 tu ikiwa complete na kila kitu chake.. kwa Dar tunakufungia na kuitest...
  10. Kutoka Maktaba: Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjekitile Ngombare Mwiru

    Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
  11. Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

    Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu. Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo. Kwa...
  12. Gharama za mashine ya kukoboa na kusaga

    Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji wa vifaa, gharama zake nk
  13. B

    Kuelekea dakika ya tisini: "Maoni ya wanachama yasiposikilizwa, CHADEMA njiani kulia na kusaga meno!"

    Haya si maneno yangu: Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa. Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto? Looh! Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona? Kama ilivyo kwa...
  14. Crusher linaweza kusaga kipande cha dhahabu?

    Ukiweka kipande cha dhahabu (nugget) cha gramu 500 kwenye mawe yanayosagwa kwenye crusher linalosaga mawe yenye dhahabu, hicho kipande nacho kitasagika na kuwa unga?
  15. Endeleeni Kuimba Mitano Tena, Lakini Mtaishia Kulia na Kusaga Meno

    Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea...
  16. D

    Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  17. INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Mashine imeuzwa
  18. M

    Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

    Habarini wakuu, Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu. Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia...
  19. A

    Nahitaji mashine ya kusaga na kukoboa unga wa sembe

    Nahitaji mashine ya kusaga na KUKOBOA UNGA WA SEMBE , mashine iwe na uwezo wa kusaga na KUKOBOA Tani 30 Kwa Siku.
  20. Mota ya kusaga mahindi inauzwa

    Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…